Zaidi ya tani 160,000 za mafuta zawasili Bandari ya Mombasa

  • | Citizen TV
    3,617 views

    Zaidi ya tani laki moja unusu za mafuta chini ya mpango wa serikali ya kenya na milki za kiarabu zimewasili katika kituo cha kupokea mafuta cha kipevu Bandarini Mombasa