Zaidi ya vijana 2,000 wamejiandikisha kupata vitambulisho

  • | Citizen TV
    185 views

    Zaidi ya vijana 2,000 wamejiandikisha kupata vitambulisho katika eneo la Shimoni huko Lungalunga kaunti ya Kwale kupitia zoezi la huduma mashinani lilotekelezwa na kituo cha huduma Kwale