Zaidi ya wagonjwa 20 wameuguzwa hospitalini Mbagathi

  • | K24 Video
    42 views

    Maafisa wa afya katika kaunti ya nairobi wamelazimika kunyunyiza dawa katika soko la muthurwa hapa jijini nairobi. Hiyo inafuatia kuzuka kwa mkurupuko wa kipindupindu katika eneo hilo. Sokoni humo. Shughuli hiyo inaendelea huku baadhi ya waliokuwa na dalili za ugonjwa huo wakiuguzwa katika hospitali ya Mbagathi.