Zaidi ya wakaazi 1,000 walalamikia unyakuzi wa ardhi Kwale

  • | Citizen TV
    209 views

    Zaidi ya wakaazi 1,000 katika kijiji cha Chidze Kibwaga eneo la Tiwi kaunti ya Kwale wanalalamikia unyakuzi wa ardhi ya zaidi ya ekari 400. Wakaazi hao wanadai ardhi hiyo ilitumika tangu jadi kufanya kilimo na ufagaji na ilistahiki kutolewa kwa wakaai. Aidha wanalamimika kuhangaishwa kwenye biashara yao wanayoitegemea ya kuchimba mawe eneo hilo