Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya wakazi 500 wa Osodo wanahangaika na athari ya mafuriko Homa Bay

  • | Citizen TV
    2,878 views
    Duration: 4:08
    Zaidi ya wakaazi 500 wa eneo la Osodo kaunti ya Homabay wamemiminika katika makanisa matano katika eneo hilo baada ya makazi yao kusombwa na maji, mto Miriu ukivunja kingo zake. Wakaazi hawa sasa wanaomba suluhu ya kudumu  kwa janga hili ambalo limewahangaisha kwa muda mrefu.