18 Aug 2025 1:31 pm | Citizen TV 437 views Duration: 2:25 Zaidi ya watu mia tano katika eneo la Kivani kaunti ya Makueni wamepokea matibabu bila malipo kutoka kwa wakfu wa pokea afya.