Zaidi ya wakazi 700 wa Gazi, Msambweni wapokea hatimiliki za ardhi, walikuwa maskwota

  • | TV 47
    31 views

    Zaidi ya wakazi 700 wa Gazi wapokea hatimiliki za ardhi.

    Mbunge wa Msambweni Feisal Bader aongoza utoaji hatimiliki.

    Wakazi hao ni maskwota waliovunjiwa nyumba zao.

    Kampuni ya Msambweni Development yatoa ekari 300 za ardhi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __