- 3,316 viewsDuration: 3:17Zaidi ya wakenya elfu moja wanashiriki katika vita kati ya Urusi na Ukraine. Kulingana na ripoti ya idara ya ujasusi, usajili wa wakenya kupigana nchini urusi unawezeshwa na maafisa wa serikali wakiwemo maafisa wa uhamiaji, wale wa DCI na wa mamlaka ya kitaifa ya uajiri. Akisoma ripoti hiyo bungeni, kiongozi wa wengi Kimani Ichungwa amesema kampuni moja ilitumika kuwasajili wakenya wengi huku hospitali mbili zikihusika na ukaguzi wa kiafya za waliosajiliwa,