Zaidi ya wakenya 350,000 wachangamkia sarafu mpya ya World Coin

  • | Citizen TV
    21,331 views

    Maafisa wa polisi waliwafurusha waandalizi wa kampuni ya sarafu Crypto Currency, worldcoin kwa sababu za kiusalama. Maafisa wa polisi wakiwashauri waandalizi hao kutafuta sehemu nyengine kama vile uwanja wa michezo.