Zaidi ya wakulima 100 wa mpunga wapata hasara baada ya mazao yao kuanza kukauka

  • | Citizen TV
    156 views

    Zaidi ya wakulima 100 wa mpunga kwenye mashamba ya unyunyiziaji maji ya Bura kaunti ya Tana River wamekosa matumaini baada ya mpunga wao kuanza kukauka kutokana na ukosefu wa maji.