Zaidi ya wakulima 2000 wapata mafunzo Nyamira

  • | Citizen TV
    297 views

    Zaidi ya wakulima 2,000 kutoka kaunti ya Nyamira wamepokea mafunzo ya kuboresha kilimo biashara ili kukuza mazao zaidi, kujiajiri na kuongeza mapato yao.