Zaidi ya wanachama 1,500 wanahudhuria mkutano wa baraza kuu la UDA

  • | Citizen TV
    651 views

    Rais William Ruto anahudhuria mkutano wa baraza kuu la chama cha UDA katika kile kinachoonekana kama mwanzo wa safari ya kuimarisha chama hicho tawala. Zaidi ya wanachama 1,500 wanahudhuria mkutano huo katika ukumbi wa Bomas. Mkutano huo unanuiwa kuweka mikakati ya kujiimarisha mashinani kabla ya uchaguzi uliopangiwa kufanyika mwezi Disemba.