Zaidi ya wanafunzi 100 kijiji cha Moa, Lamu, wameathirika na mafuriko

  • | Citizen TV
    350 views

    Zaidi ya Wanafunzi 100 katika kijiji cha Moa kaunti ya Lamu wameathirika na mafuriko baada ya vitabu, na sare zao za shule kusombwa na maji.zaidi ya nyumba 100 kufika sasa zimesomba na maji ambayo yanaendelea kuongezeka kila uchao.