Zaidi ya wanafunzi 30 kunufaika na sare za shule Busia

  • | TV 47
    8 views

    Zaidi ya wanafunzi 30 kutoka familia zisizojiweza katika wadi ya Bunyala, Kaunti ya Busia wamenufaika kwa kufadhiliwa sare za shule.

    Ufadhili huo ulisimamiwa na Bethel Ministries International.

    Mradi huo unafadhili mahitaji mengine kama vitabu na viatu.

    #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __