Zaidi ya wanafunzi 3,000 kutoka Risa kaunti ya Kajiado kunufaika baada ya kujengewa maktaba

  • | Citizen TV
    180 views

    Zaidi ya wanafunzi 3,000 kutoka eneo la Risa kaunti ya Kajiado wamepata afueni baada ya kujengewa maktaba ya kisasa katika eneo hilo. Maktaba hiyo ambayo ni ya kipekee katika eneo la Kajiado kusini itatoa nafasi kwa wanafunzi kudurusu vitabu na pia kujifahamisha na masomo ya kidijitali bila malipo. Hatua hiyo imetajwa kama ambayo itaimarisha masomo katika eneo hili. Robert Masai na Mengi zaidi.