Zaidi ya wanafunzi 400 wanufaika na basari mbunge

  • | Citizen TV
    107 views

    Mbunge wa Wajir Kusini, Mohamed Adow, amezindua rasmi basari za thamani ya shilingi milioni 70, kuwasaidia wanafunzi katika shule za upili, vyuo vya anuai, na taasisi za mafunzo ya walimu.