Zaidi ya wanafunzi elfu 194 wapata nafasi vyuoni

  • | Citizen TV
    152 views

    Asilimia 83 ya wanafunzi waliofuzu kujiunga na elimu ya juu wenye mtihani wa mwaka jana wa KCSE wamepata nafasi kwenye vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu. Waziri wa Elimu Julius Ogamba akisema kuwa, wanafunzi 194,000 kati ya 244,000 waliopata fursa kuingia vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu wataanza masomo yaoe mwezi septemba. Idadi kubwa ya wanafunzi hawa wakionyesha hamu ya kusomea kozi za uuguzi, ualimu na kilimo.