Zaidi ya wasanii 300 kutoka Gusii wakutana na bodi ya haki miliki ili kuwezesha wasanii kote nchini

  • | Citizen TV
    134 views

    Zaidi ya wasanii 300 kutoka eneo la Gusii wanakongamana mjini Kisii kwa hamasisho kutoka kwa bodi ya haki miliki ili kuwezesha wasanii kote nchini kufaidika na Sanaa zao