Zaidi ya watoto 1,200 wafariki dunia katika kambi za wakimbizi Sudan

  • | VOA Swahili
    21 views
    Zaidi ya watoto 1,200 wamefariki dunia katika kambi za wakimbizi za Sudan, wakishukiwa kuwa na surua na utapiamlo, wakati maelfu zaidi wakiwemo watoto wachanga wako hatarini kupoteza maisha kabla ya mwisho wa mwaka, mashirika ya Umoja wa Mataifa (U.N.) yalisema Jumanne. #watoto #vifo #kambi #wakimbizi #sudan #surua #utapiamlo #voa #voaswahili - - - - -