Zaidi ya watu 100 walio walemavu wananufaika na mradi ya NGAAF Kisii

  • | Citizen TV
    198 views

    Zaidi ya watu 100 wanaoishi na ulemavu kutoka maeneo mbalimbali Kisii kwa pamoja na vikundi mbalimbali vya kina mama kutoka kaunti hiyo wamepokezwa fedha na vifaa mbalimbali vya kuwaimarisha kiuchumi. Mpango huo uliofanikishwa kupitia ufadhili wa mradi wa NGAAF ukiongozwa na mwakilishi wa Kike kaunti hiyo Dorice Donya.