Zaidi ya watu 15,000 wafariki kutokana na TB 2023

  • | Citizen TV
    247 views

    Kaunti za Nairobi, Kiambu, Kisumu na Mombasa ni miongoni mwa kaunti 10 zinazoongoza kwa maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu nchini. Takwimu za hivi punde zinasema kuwa zaidi ya watu 15,000 walifariki kutokana na ugonjwa wa kifua kikuu mwaka 2023 huku asilimia kubwa ya waliooambukizwa wakiwa ni wanaume