- 4,503 viewsDuration: 2:50Zaidi ya watu 500 waliaga dunia kwenye visa vya kupigwa na umati mwaka jana. Waziri wa usalama wa ndani kipchumba murkomen ameliambia bunge hayo, huku pia akiwalaumu wanasiasa kwa ongezeko la visa vya uhuni na mauaji katika mikutano ya kisiasa. Waziri murkomen akishikilia kuwa ni wanasiasa wenyewe ndio wanaowapanga wahuni kuharibu mikutano yao