Zaidi ya watu 60 wamefariki kutokana na mvua

  • | Citizen TV
    6,370 views

    Zaidi ya watu 60 wamefariki kutokana na athari za mafuriko kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini. Katika mtaa wa Mathare hapa Nairobi, ambako mafuriko yalisababisha uharibifu mkubwa, idadi ya waliofariki imepanda hadi 14, huku miili minne zaidi ikipatikana hii leo.