Zaidi ya watu 600 wamepoteza makazi yao kaunti ya Kirinyaga kufuatia mvua kubwa inayonyesha

  • | Citizen TV
    1,155 views

    Takriban watu 600 wamepoteza makazi yao kufuatia mvua kubwa inayonyesha katika kaunti ya Kirinyaga na ambayo imesababisha mto thiba kuvunja kingo zake.