Zaidi ya watu 8 wafariki kwenye maandamano nchini Kenya, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    27,273 views
    Takriban watu 8 wameuawa na wengine zaidi ya 400 kujeruhiwa jijini Nairobi Kenya, katika maandamano ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu maandamano mabaya ya kupinga ushuru mwaka jana. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw