Zaidi ya wauguzi 400 wanashiriki mgomo

  • | Citizen TV
    17 views

    Wauguzi wanaohudumu chini ya muungano wa wauguzi tawi la Elgeyo Marakwet wameanza rasmi mgomo wao wakishinikiza serikali kuu na ya kaunti hiyo kuafikia matakwa yao ikiwemo ajira ya kudumu na kupandishwa vyeo