Zaidi ya waumini 10,000 wa kiislamu wapokea msaada wa serikali ya Machakos

  • | Citizen TV
    476 views

    Zaidi ya waumini 10,000 wa kiisilamu kaunti ya Machakos wamenufaika na msaada wa chakula kutoka kwa serikali wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.