Zaidi ya wawekezaji 100 wakongamana mjini Kinshasa

  • | Citizen TV
    38 views

    Zaidi ya wawekezaji 100 kutoka mataifa mbalimbali wamekongamana mjini Kinshasa katika jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo -DRC- chini ya mpango wa Equity. Mpango huo unalenga kuimarisha uwekezaji katika taifa hilo. Afisa mkuu wa Equity group Dkt. James Mwangi ametoa wito kwa mataifa kuwekeza zaidi katika taifa hilo.