Zakaria Mwaura hutumia vifaa vya hisabati kupima miraba katika harakati zajke za kinyozi

  • | Citizen TV
    281 views

    Kuna msemo wa kimombo unaosema kuwa...maisha yakikupa limau, basi yatengezee sharubati. Ni msemo anaoufahamu fika Zakaria Mwaura ambaye licha ya kukosa kukamilisha masomo yake, mapenzi yake ya hisabati na uhandishi yalimpa motisha kufungua biashara ya kipekee ya kinyozi hapa Nairobi.