Zambia yawasili nchini kwa ajili ya michuano ya CHAN

  • | Citizen TV
    977 views

    ZAMBIA AMBAO WALITARAJIWA KUWASILI JUMANNE WALIBADILISHA MIPANGO YAO KUTOKANA NA KUTOKUWA NA MECHI SIKU ZA KWANZA ZA MCHUANO HUO. CHIPOLOPOLO KAMA WANAVYOFAHAMIKA WAKO KUNDI A PAMOJA NA HARAMBEE STARS YA KENYA, MOROCCO, ANGOLA NA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO