Zanzibar imesema kuna maambukizi machache ya Covid 19

  • | BBC Swahili
    Serikali ya Mapinduzi inafuatilia kwa karibu wimbi la tatu linalotokea katika mataifa mengi ya Afrika. Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi akizungumza katika mahojiano maalum na BBC amesema pia wataanza kutoa chanjo kwa wafanyakazi wa huduma za afya. Amezungumza na Salim Kikeke.