Ziara ya M-pesa Sokoni Magharibi na Nyanza inakamilika leo

  • | Citizen TV
    157 views

    Msafara wa Mpesa Sokoni unatamatisha ziara yake ya Magharibi na Nyanza kwa kuzuru Katito, Awasi, Ahero na Rabuor kaunti ya Kisumu hii leo.