Ziara ya malkia wa uholanzi Maxima Zorreguieta

  • | Citizen TV
    163 views

    Malkia wa Uholanzi anayezuru nchini Maxima Zorreguieta hapo jana alipata fursa ya kuzuru moja wapo ya vituo vya afya vilivyofanikiwa kujiendeleza kutokana na mkopo unaolenga wafanyibiashara wadogo katika sekta ya afya. Malkia huyu amekuwa nchini kwa siku tatu sasa. Mary Muoki na mengi zaidi