Ziara ya Rais Ruto Ethiopia | Rais ahudhuria mkutano wa viongozi wa bara Afrika

  • | KBC Video
    28 views

    Rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa katika Jamhuri ya kidemokrasia Congo kuhakikisha amani na udhabiti vinarejelea nchini humo. Rais alisema juhudi hizo zinapaswa kuungwa mkono na kupigwa jeki na mataifa jirani ili kuafikiwa kwa amani na udhabiti. Rais alikuwa akizungumza leo jijini Addis Ababa, Ethiopia wakati wa mkutano wa viongozi wa nchi na serikali wanachama wa Muungano wa afrika -AU kuhusu amani na usalama katika jamhuri ya kidemokrasia Congo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #williamruto #News #ethiopia