- 731 viewsDuration: 1:16Rais William Ruto amewataka wawekezaji kujitokeza kuwekeza zaidi katika sekta ya kawi humu nchini. Akihutubia kongamano la TICAD 9 huko Yokohama nchini Japan, rais ameelezea ushirikiano baina ya nchi hizo mbili kustawisha sekta ya kawi.