Ziara ya Rais Ruto Pwani

  • | Citizen TV
    628 views

    Rais William Ruto anakamilisha ziara yake pwani hii leo kwa kuzuru kaunti za Mombasa na Tana river. Hii leo Rais Ruto anatazamiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa taasisi ya kuifundi ya nyali kabla ya kuekelea Tana river ambapo atazindua miradi ya maendeleo.