Ziara Ya Rais Ruto Zimbabwe: Kenya na Zimbabwe zanuia kuimarisha uhusiano

  • | KBC Video
    143 views

    Rais William Ruto amepata uungwaji mkono wa Zimbabwe kwa azma ya Raila Odinga ya kuwania uwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika. Haya yanajiri huku baraza kuu la muungano wa Afrika lilikiafikia uamuzi kwa kauli moja mnamo tarehe 15 mwezi Machi mwaka huu kwamba eneo la mashariki mwa Afrika liwasilishe wagombezi wa wadhifa huo. Akihutubu leo kwenye mashauriano ya nchi hizo mbili katika ikulu ya rais ya Bulawayo, Ruto alikariri jukumu muhimu la Kenya katika kuendeleza ajenda ya bara Afrika kupitia ugombezi wa Raila.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive