Ziara ya Rais William Ruto eneo la Naitiri eneo bunge la Tongaren

  • | West TV
    148 views
    Rais William Ruto ameongoza viongozi wa kaunti ya Bungoma kwenye ufungui rasmi wa mijengo ya kisasa katika shule ya msingi ya naitiri s.a iliyofadhiliwa na kampuni ya mawasiliano ya safaricom chini ya wakfu wa mpesa