Ziara ya Ruto Italia I Rais William Ruto asifia Afrika kuwa bara lililo na nafasi tele za uwekezaji

  • | KBC Video
    114 views

    Rais William Ruto ameisifia Afrika kuwa bara lililo na nafasi tele kimaendeleo. Rais aliye kwenye ziara jijini Roma, Italia kuhudhuria kongamano la pamoja la Italia na Afrika, alisema kuwa dhana ya kuichukulia Afrika kama ngome ya maradhi,njaa na ukosefu wa ujuzi,imepitwa na wakati. Wakati uo huo,rais ametoa wito wa kuungana na kushirikiana na wawekezaji wa bara Uropa huku akiwataka kuzingatia kuwekeza barani humu,kwani bara hili lina kawi isiyoharibu mazingira na kuna mamilioni ya vijana wasio na ajira.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive