Ziara ya Ruto Marekani I Rais kuhutubia kikao kuhusu demokrasia

  • | KBC Video
    142 views

    Rais William Ruto ambaye yuko katika ziara rasmi ya serikali ya siku nne nchini Marekani anatarajiwa kutoa hotuba leo usiku katika Maktaba na makavazi ya Jimmy Carter mjini Atlanta, jimbo la Georgia. Rais katika hotuba yake anatarajiwa kuzungumzia demokrasia na utawala bora pamoja na hatua za kukabiliana na ufisadi ambazo serikali yake iinatekeleza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive