- 3,183 viewsDuration: 3:34Hotuba ya kihistoria ya Rais William Ruto katika Bunge la Tanzania na ziara yake katika taifa hilo ilinuia kuangazia kuimarishwa kwa uhusiano kati ya mataifa haya mawili. Hata hivyo, makosa ya kidiplomasia kuhusu ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika taifa hilo yaligeuka kuwa darubini kuu, yakionyesha changamoto za mawasiliano ya kidiplomasia zilizohusishwa na kauli za rais.