Ziara ya Safaricom sambaza furaha yaanza Kericho

  • | Citizen TV
    182 views

    Msafara wa “Safaricom Sambaza furaha” kwa ushirikino wa kampuni ya safaricom na Royal Media umeingia siku yake ya tatu katika eneo la bonde la ufa. Msafara huo unatarajiwa kuzuru maeneo ya Kericho, Chepseon hadi Londiani.