Skip to main content
Skip to main content

Ziara ya Samia Urusi ina maana gani?

  • | BBC Swahili
    12,574 views
    Duration: 3:12
    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanza ziara ya siku tatu nchini Urusi Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Samia nje ya Bara la Afrika, tangu vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, lakini ni ziara ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu 1969 alipozuru Baba wa Taifa hilo, Julius Nyerere. Je Tanzania inatafuta nini Urusi? @sammyawami anaelezea kwa kina #bbcswahili #tanzania #urus Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw