Ziara ya Zelensky Marekani katika sekunde 90

  • | BBC Swahili
    1,689 views
    Ukraine ipo "hai na inadunda" na haitajisalimisha kamwe.- Volodymyr Zelensky Rais wa Ukraine Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametoa amewahutubia wabunge wa Marekani katika ziara yake ya kwanza ya nje tangu uvamizi wa Urusi nchini kwake. Bw Zelensky alikaribishwa na Rais Joe Biden katika Ikulu ya White House na alipokea pongezi kutoka kwa Congress. #bbcswahili #ukraine #marekani