- 994 viewsDuration: 2:31Mamia ya familia zimeachwa bila makao katika mitaa ya Kamere na Karagita mjini Naivasha baada ya ziwa Naivasha kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Familia nyingi zimewachwa zikikadiria hasara wakitaka serikali kuwahamisha maeneo salama.