Zoezi la kubomoa majengo ili kufanikisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu limezua utata kakamega

  • | West TV
    55 views
    Mamia ya Wakazi wa eneo la Milimani mjini Kakamega wamekerwa sana na zoezi la kubomolewa nyumba usiku kwa kufanikisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu mradi wa Serikali