Zoezi la kuhamisha Twiga katika hifadhi ya Ramat laanza

  • | Citizen TV
    366 views

    Shuguli ya kuwahamisha Twiga wapatao 50 ambao wamekwama kwenye mashamba ya kibinafisi katika eneo la hifadhi la Ramat, kaunti ya Kajiado inaanza rasmi Jumatatu hii.