26 Aug 2025 1:28 pm | Citizen TV 4,024 views Duration: 3:40 Shuguli ya kuwahamisha Twiga wapatao 50 ambao wamekwama kwenye mashamba ya kibinafisi katika eneo la hifadhi la Ramat, kaunti ya Kajiado inaanza rasmi Jumatatu hii.