Zoezi la kuhesabu watu na makazi linaenedelea Uganda

  • | BBC Swahili
    457 views
    Zoezi la kuhesabu watu na makazi yao limeanza huko nchini Uganda ikiwa kila mtu ndani ya mipaka ya taifa hilo atatakiwa kushiriki. Serikali ya taifa hilo inatazamia kukamilisha hesabu hiyo katika muda wa siku kumi. Miongoni mwa maswali ambayo watakaohojiwa ni kutakiwa kuelezea vyanzo vyake vya mapato, muundo na idadi ya watu katika familia yake yaani wake na watoto. Mwandishi wa BBC Swaibu Ibrahim anaangazia umuhimu wa zoezi hili na kukufahamisha mambo makuu unayostahili kujua kuhusu zoezi hilo. #bbcswahili #uganda #sensational Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw