Zoezi la kuondoa matope kufuatia maporomoko linaendelea wilaya ya Hanang
Mamlaka katika Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara nchini Tanzania imeanza kuondoa matope yaliyosambaa barabarani kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokea nchini siku ya Jumapili.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari mbalimbali nchini Tanzania Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko imefikia zaidi ya watu 60. Zaidi ya watu 80 wamejeruhiwa vibaya kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo la Manyara, Kwa mujibu wa serikali ya Tanzania.
Mafuriko makubwa yaliyosababishwa na El Nino yamesababisha vifo vya mamia ya watu nchini Kenya na Somalia na kuwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao tangu mvua za msimu zilipoanza mwezi Oktoba.
Operesheni ya uokoaji inaendelea katika mkoa wa Manyara huku mamlaka ikihofia baadhi ya miili inaweza kunaswa kwenye matope, mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga aliwaambia waandishi wa habari Jumapili jioni.
Kupitia njia ya Video iliyowekwa mtandaoni wa wizara ya AFya , Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alituma salamu za rambirambi kwa familia zilizoathiriwa na kutoa idadi ya waliofariki na majeruhi ambao wanaendelea kupatiwa matibabu hospitalini huku wengine wakiruhusiwa kuondoka. Zaidi ya nyumba 100 zimeathiriwa na maporomoka hayo.
Mabadiliko ya hali ya hewa yamesababisha madhara makubwa ya hali ya hewa mara kwa mara, kulingana na wanasayansi wa hali ya hewa. - Reuters
#mafuriko #haliyahewa #vifo #Tanzania #mkoa #manyara #hanang #wilaya #voa #voaswahili
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
16 Aug 2025
- President William Ruto is scheduled to tour the United States next month for the 80th session of the United Nations General Assembly (UNGA) in New York, marking his first trip to the U.S. under President Donald Trump’s administration.
16 Aug 2025
- The killer Coptic roundabout in Mamboleo along Kisumu Kakamega highway has been dug out by unknown people last night following cases of road accidents in the area, with the latest claiming 27 lives, out of which 22 are set to be laid to rest today in…
16 Aug 2025
- The Democratic Republic of Congo (DRC) has raised objections over President William Ruto's nomination of a new Consul General to Goma, warning that such nominations require prior approval from Congolese authorities.
16 Aug 2025
- Politics can be messy, even desperate. But to cross the line into the indignification of women — reducing them to objects for male amusement — is not desperation. It is degradation.
16 Aug 2025
- The last days of July and the early weeks of August have been marked by a wave of
16 Aug 2025
- Kenya Power has issued a notice of planned power outages affecting parts of Nairobi, Machakos, Nakuru, and Mombasa
16 Aug 2025
- He described the voting process as irregular and predetermined.
16 Aug 2025
- Ghana international Semenyo took to Instagram after the game to show more racist abuse he had received.
16 Aug 2025
- Kipyegon clocked a blistering 8:07.04, the second-fastest time ever recorded over the distance
16 Aug 2025
- Deputy President Kithure Kindiki has warned opposition leaders against any attempts to destabilize the country to gain power, declaring such acts to be dangerous and unacceptable.